nida-tz
v2.0.15
Published
Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nida kutoka tanzania
Downloads
31
Readme
nida-tz
Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nida kutoka tanzania
Installation
npm install nida-tz
Matumizi
- Hii inatumia asynchronous functions katika kutuma ombi yaani
async - wait
- Function inabidi iwe na maombi mawili ili kurudisha taarifa za nida.
- Sehemu ya kwanza inakuwa na namba ya nida na sehemu ya pili inakuwa na
http method
ambazo niPOST au GET
- Mfano
async jinaLaFunction(nida,method)
# Syntax
async functionName(parameters);
# sample
const nidatz = require('nida-tz');
const method = "post"; #or "get
const nida = "12345123451234512345"; # put nin in string
async function mainFunction() => {
const userData = await nidatz.nidaData(nida, method);
}
Mfano katika Express
Hivi ndio namna ya kutumia katika express
# express usage
const express = require('express');
const app = expess();
const nidatz = require('nida-tz');
app.get('/route', async (req, res)=>{
const nida = '12345123451234512345';
const method = 'post'; # unaweza kutumia POST au GET tu
const userData = await nidatz.nidaData(nida, method);
console.log(userData);
})
app.listen(portNumber, ()=>{})
Maana ya baadhi ya jumbe za kimakosa
Method si sahihi
Jumbe hii inamaana kuwa umetumia http methods ambazo hazikutambulika katika mbali na
POST or GET
Mtumiaji hakupatikana
Jumbe hii inamaana kuwa namba ya nida iliyotumika haikupata data yoyote kutoka katika maktaba
Imeshindwa kupata data za {nida} kwa kutumia {method}
Jumbe hii inamaanisha kuwa kuna makosa ya kimchakato. Unaweza ukatuma tena ombi au ukabadili method
ANGALIZO
- Namba ya nida inatakiwa iwe katika mfumo wa string
- Ili uweze kutumia package hii inakulazimu uwe na link maalumu ya kuweza kupata data za nida
- Link hiyo ya kupata data haikuwekwa
- Link ya kuvutia data inabidi iwe saved kama NIDA_TZ katika mafaili kama .env
Maktaba hii haikutengenezwa kutoka katika maktaba za nida tanzania